Farid Mussa Mchezaji Wa Timu Ya Azam FC Amewasili Jijini Dar Akitokea Hispania Alikokwenda Kufanya Majaribio Ya Kucheza Soka La Kulipwa Katika Klabu Ya Deportivo Tenerife
Farid amewasili salama jijini Dar jana majira ya saa 9 alasiri na anatarajia kujiunga na wachezaji wenzake katika maandalizi ya mchezo wao wa mwisho hapo kesho dhidi ya Mgambo JKT, Farid ambaye amefanikiwa katika majaribio yake huko Hispania amerudi nchini kuja kuchukua baraka za wazazi na timu pamoja na mashabiki kiujumla huku pia kukusubiriwa makubaliano ya mwisho kati ya klabu ya Azam Fc na Deportivo inayoshiriki ligi Daraja la kwanza ('Segunda Division' nchini Hispania.
Related Posts:
OMOG ASHUSHA PRESHA ZA WANAMSIMBAZI
Kocha wa klabu ya Simba, Mcameroon, Joseph Omog amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuwa watulivu kufuatia sare ya bila kufungana waliyoipata dhidi ya JKT Ruvu.
Omog amesema hayo ni matokeo ya kawaida ya kimchezo hivyo mash… Read More
SIMBA YABADILI GIA ANGANI
Sare ya bila kufunguna waliyoipata Simba dhidi ya JKT Ruvu imemfanya kocha wa klabu hiyo, Joseph Omog kubadili mfumo wa uchezaji na kusisitiza umakini kwa wachezaji katika mechi zijazo.
Katika mchezo huo dhidi ya JKT Ruvu… Read More
BOCCO AITISHIA NYAU SIMBA
ZIKIWA zimesalia siku tatu kabla ya kupambana na Simba, Nahodha wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, John Bocco ‘Adebayor’, amesema kuwa wanamorali kubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo utakaofanyika … Read More
TANZIA;BABA YAKE DEOGRATIUS MUNISH "DIDA" AAGA DUNIABaba wa Mlinda Mlango namba 1 wa Mabingwa Watetezi wa Ligi kuu Tanzania Bara, Deogratius Munish amefariki Dunia mchana wa leo.
Mzee Munishi ameaga dunia mchana wa leo, kifo chake kimetokea wakati tayari Dida anakaribia kuingi… Read More
PLUIJM:"YANGA TIMU BORA TANZANIA"
Kocha wa Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Hans Van Pluijm amesema Yanga bado ni timu bora zaidi Tanzania Licha ya kuondolewa katika michuano ya kimataifa.
Yanga imetupwa nje ya michuano ya kombe la shirikisho … Read More
0 comments:
Post a Comment