Sunday, April 24, 2016

LIVE KUTOKA MKWAKWANI: Coastal Union Vs Yanga

KOMBE LA SHIRIKISHO (ASFC)

NUSU FAINALI

MECHI IMEVUNJIKA KUTOKANA NA VURUGU ZILIZOANZISHWA NA MASHABIKI WA COASTAL UNION. HATIMA YA MCHEZO HUO UNASUBIRI RIPOTI YA KAMISAA PAMOJA NA MWAMUZI WA KATI WA MCHEZO HUO ILI KUIWEZESHA KAMATI YA MASHINDANO KUKAA NA KUTOA MAAMUZI


Coastal U 1 - 2 Yanga SC

Ngoma 60'
Tambwe 100'












pata habari za michezo kwa haraka zaidi kupitia soka24.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment