Cristiano Ronaldo "CR7" ameamua kujipongeza kufuatia ushindi walioupata katika michuano ya Euro 2016 kwa kununua gari jipya la kifahari aina ya Bugatti Veyron.
Ronaldo alilipost Gari hilo katika akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno "The Animal Arrive" akiwa na maana "Mnyama kawasili"
0 comments:
Post a Comment