Home »
Kitaifa
» MASHABIKI WAFURIKA UWANJA WA NDEGE KUISUBIRI YANGA
Msafara wa klabu ya Yanga unatarajia kuwasili Leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mashabiki wakiwa wanawasubiri kwa hamu kubwa mashujaa wao waliotinga hatua ya robo fainali kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuiondosha Esperanca ya Angola.
Related Posts:
Mnyama Achinjwa Taifa
Timu ya soka ya Simba imezidi kupoteza matumaini ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara baada ya kukubali kichapo cha Goli 1 - 0 toka kwa Toto Africans ya Mwanza.Katika mchezo huo ambao wadau wengi wa soka waliip… Read More
Hapatoshi Leo Tena Taifa
Patashika za ligi kuu ya kandanda tanzania bara zinaendelea tena leo kwa mchezo mmoja tu kupigwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam ukiwakutanisha wenyeji Simba SC dhidi ya Toto Africans ‘wana kishamapanda’kutok… Read More
Tanzania Yazidi Kupata Umaarufu Duniani
Bondia Ibrahim Class
Bondia mtanzania Ibrahim Class ‘King Class Mawe’ameendelea kutamba katika mapigano yake nje ya nchi baada ya usiku wa kuamkia jana kufanikiwa kumtwanga Mjerumani huko Panama City Amerika Kusini.
… Read More
Migi: Azam FC Ina Nafasi CAF
KIUNGO wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Jean Mugiraneza ‘Migi’, amesema kuwa licha ya timu hiyo kukabiliwa na mchezo mgumu wa ugenini dhidi ya Esperance, bado ina nafasi ya kusonga mbele kwa kuwatoa w… Read More
LIVE KUTOKA TAIFA - FUATILIA LIVE MCHEZO KATI YA SIMBA NA TOTO AFRICANS
HALF TIME
MATOKEO:
SIMBA 0 - 1 TOTO AFRICANS
Mfungaji: Wazir Junior
========
KIPINDI CHAPILI KIMEANZA
Dakika ya 47: beki wa Simba, Hassan Kessy anapewa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo, Edward Chris… Read More
0 comments:
Post a Comment