Saturday, May 21, 2016

HAYA NDO ALIYOAHIDIWA KOCHA PLUIJM YANGA

Mkataba wa kocha mkuu wa Yanga Hans Pluijm ukiwa umebakiza siku chache kumalizika Yanga yafunguka juu ya kuendelea kubaki na kocha huyo.




Klabu ya Yanga imeanza mazungumzo rasmi na kocha mkuu wa klabu hiyo Hans Van Pluijm kufuatia mkataba wake wa sasa kuelekea ukingoni. Pluijm ambaye ameipa Yanga mafanikio makubwa anatarajiwa kuongezwa mkataba na uongozi wa klabu ya Yanga kutokana na kukubali kazi yake anayoifanya.

Akizungumza yeye mwenyewe Pluijm Amesema  "Sina wasiwasi kwa hilo, tunaishi vizuri na waajiri wangu kila mtu ana furaha,wana Yanga wananipenda . . Ni matumaini yangu ntaendelea kubaki hapa, najihisi ni sehem ya familia hii"

Uongozi wa Yanga umemuahidi Mholanzai huyo mkataba mnono utakaomuweka klabuni hapo kwa muda mrefu zaidi.

Pluijm ameiongoza Yanga kutwaa taji la ligi kuu mara mbili mfululizo katika msimu wa 2014/15 na 2015/16

Related Posts:

  • NAMUNGO FC YAPIGWA FAINI, YAPANDA DARAJA Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeipiga faini ya Sh. 500,000, Klabu ya Namungo FC ya Lindi kwa kila mechi ambayo mchezaji Imani Vamwanga aliichezea timu hiyo akitumia jina la Emmanuel T.… Read More
  • YANGA WAMWONGEZEA MKATABA PLUIJM Mabingwa wa ligi kuu Vodacom na wawakilishi pekee Afrika Mashariki katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC), Yanga wamemwongezea mkatabawa miaka miwili kocha wao Hans Van Pluijm. Kocha huyo ambaye ame… Read More
  • MWASHIUYA KUIKOSA MEDEAMA SC GHANA Kiungo klabu ya Yanga, Geofry Mwashiuya ataukosa mchezo wa marudiano kati ya Yanga na Medeama SC utakaopigwa nchini Ghana kutokana kuuguza majeraha ya goti. Mwashiuya amewekewa bandeji laini ambayo inamsaidia kupona hara… Read More
  • BAADA YA KUTUPIWA VIRAGO HAMISI KIIZA AICHANA VIBAYA SIMBA Hamisi Kiiza ambaye aliingia katika mgogoro na uongozi wa timu yake ya zamani ya Simba SC ameamua kufunguka na kusema kwamba timu hiyo hata isajili nyota wote kamwe haitafanikiwa. Kiiza aliyeshika nafasi ya pili kwa upach… Read More
  • AZAM FC YANASA WENGINE WAWILI KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo jioni imeingia mkataba na mabeki wawili, Mghana Daniel Amoah na Mzimbabwe, Bruce Kangwa, kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao. Wawili hao kila mmoja amesaini m… Read More

0 comments:

Post a Comment