Friday, May 20, 2016

BRENDAN RODGERS KOCHA MPYA CELTIC

Rodgers aliyetimuliwa na Liverpool mwezi October 2015 amechukua nafasi ya kocha Ronny Deila aliyeachia ngazi katika klabu ya Celtic ya nchini Scotland.


Kocha huyo wa Zamani wa Liverpool na Swansea amesaini mkataba wa miezi 12 kuifundisha Klabu hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari Rodger amesema anafuraha sana kuwa kocha wa Celtic, na kwamba ni heshima kubwa kwake kupewa kazi hiyo, Rodgers aliendelea kwa kusema amekuwa akiifuatilia Celtic kwa ukaribu katika maisha yake yote na kwamba kupewa nafasi hiyo na kuwa sehemu ya klabu ya Celtic ni kutimia kwa ndoto zake za muda mrefu.

Related Posts:

  • YAYA TOURE ASAINI MKATABA NA CAEN YA UFARANSA Ni hatua nzuri katika maisha yake ya soka, akiwa ametumikia klabu ya Aminens kwa miaka mitatu na kufanikiwa kupewa jukumu la unahodha katika kikosi cha vijana U17s, sasa  hivi amepata mkataba wake mkubwa. Ikiwa… Read More
  • HASSAN RAMADHANI KESSY AMWAGA WINO YANGA Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy (katikati) akitia dole gumba kwenye fomu za Mkataba wa Yanga, Kessy amesaini miaka miwili kuitumikia Yanga kuanzia mwezi ujao. Zoezi hilo lilifanyika juzi usiku mjini Dar… Read More
  • SUPER MARIO AKUBALI KUJIUNGA NA MAN UNITED Manchester United wanakaribia kumalizana na mchezaji wa Sporting Lisbon Joan Mario. Mabosi wa United wamefanya mazungumzo mara kadhaa na mchezaji huyo mwenye miaka 23 raia wa Ureno na wakala wake anaamini dili hilo li… Read More
  • HABARI KUBWA ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO MEI 19 Arsenal Imetenga Euro Milioni 65 Kumnasa Morata Klabu ya Arsenal imetenga kitita Cha Euro Milioni 65 kuhakikisha wanapata saini ya Morata anayetumikia klabu ya Juve kwa sasa. Sessegnon & Anichebe Kuondoka West Bro… Read More
  • TAYARI MAN UTD IMENASA SAINI ZA WACHEZAJI HAWA 4 Mashabiki wa Manchester United wanahamu kubwa ya kujua kina nani watatua katika klabu yao mara baada ya kumalizika msimu huu wa Ligi kuu. Lakini wakiwa katika shauku hiyo tayari klabu ya Man UTD imeshanasa saini za makin… Read More

0 comments:

Post a Comment