MANCHESTER United wamekubali kulipa ada ya uhamisho ya Euro Milion 80 ili kumnasa nyota wa Benifica Renato Sanches. Gazeti la Michezo la Ureno limeripoti kuwa katika dili hilo Man Utd watalazimika kulipa Euro Milioni 40 Cash na 40 itakayobakia italipwa baadae. Usajili huo umepata mitazamo tofauti huku wataalamu wa soka wakisema ni kiwango kikubwa sana cha pesa alichosajiliwa Renato ukizingatia bado hajadhihirisha ubora wake kiasi cha kumnunua kwa Dau hilo.
Wakala wa Mourinho Jorge Mendes ndo amehusika katika dili hilo.
Pata habari za michezo kwa haraka zaidi kupitia soka24.blogspot.com
Pata habari za michezo kwa haraka zaidi kupitia soka24.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment