Yanga Yainyoosha Azam Fc Chamanzi

Azam FC 1 - 2 Young Africans.

Tuesday, January 31, 2017

LIGI KUU YA ENGLAND LEO 31 January 2017

TIMU MUDA    Arsenal         VS     Watford 22:45     Sunderland          VS    Tottenham Hotspur 22:45   Swansea City        VS     Southampton 22:45     Liverpool...

Mkwasa Arejea Yanga

Charles Boniface Mkwasa ameteuliwa kuwa katibu mkuu Yanga Afrika kwa mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa katibu mkuu Baraka Deusdedit anarejea katika nafasi yake ya awali ya utunza fedha. Akizungumza baada ya kurejea kikosini hapo Mkwasa amesema hana nia ya kukalia kiti cha ukocha tena kwani ana imani kubwa na walimu waliopo hivi sasa. "Nimekuja Yanga Sc kufanya muunganiko kati ya waalimu na Sekretarieti na pia sina nia yeyote ya kurudi kwenye...

Hivi Ndivyo Nusu Fainali AFCON Itakavyotimua Vumbi

Michuano ya Mataifa ya Afrika inayoendelea huko nchini Gabon imefikia hatua ya nusu fainali, hatua ambayo mechi zake zitachezwa katika siku za Jumatano na Alhamisi wiki hii. Mitanange ya hatua hiyo ya nusu fainali itazikutanisha timu za Burkina Faso watakaokipiga na Misri kesho Jumatano huku Ghana wakimenyana na Cameroon siku ya Alhamisi. Burkinafaso iliwaondosha Tunisia hatua ya robo fainali, Misri wao wakiifungisha virago Morocco wakati, Ghana...

Kocha Mwadui Aitabiria Ubingwa Yanga

Kocha wa klabu ya Mwadui FC, Ali Bushiri ameitabiria ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara (VPL 2016/17) klabu ya Yanga kufuatia kandanda safi liliopigwa na vijana hao wa Jangawani wakati timu yake ya Mwadui FC ilipolala kwa jumla ya mabao 2-0 katika uwanja wa taifa jijini Daresalaam. Kocha huyo alisema kikosi chake kilizidiwa katika sehemu kubwa na mabingwa hao watetezi kitu kilichowalazimu kucheza kwa kujilinda zaidi kwa kuhofia kufungwa mabao...

Omog:"Mashabiki Simba Wakubaliane Na Matokeo"

Kocha Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi Simba, amewataka wapenzi na mashabiki wa Simba kuwa watulivu na kukubaliana na matokeo. Simba iliyokuwa inaongoza katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara, imeshushwa katika nafasi ya pili baada ya kukubali kipigo cha goli moja kwa bila kutoka kwa Azam FC huku mahasimu wao Yanga wakichomoza na ushindi katika mchezo wao dhidi ya Mwadui FC na kuwafanya kupaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo huku wakiwazidi wapinzani...

Monday, January 30, 2017

Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL 2016/17)

...

Kipa Kagera Sugar Afariki Dunia

Mlinda mlango wa Kagera Suga, David Burhani Amefariki dunia katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Taarifa kutoka kwa viongozi wa Kagera Sugar zinasema marehemu alikuwa akisumbuliwa na Malaria. Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Burhani Aliumwa ghafla wakiwa njian kuelekea Singida kwenye mechi ya Azam Federation Cup. Na waliporudi Kagera hali yake ikazidi kuwa mbaya na hivyo kukimbizwa Bugando kabla ya umauti kumkuta leo hii SOKA24...

Sunday, January 29, 2017

Yanga Yaitwanga Mwadui, Yapaa Kileleni

LIGI KUU TANZANIA BARA MZUNGUKO WA PILI RAUNDI YA 20 Yanga 2 - 0 Mwadui Chirwa 69', 83' ...

MATOKEO MECHI ZOTE JANA:FA,Bundesliga,La Liga,AFCON,Serie A,Ligue 1

...

Bossou Kucheza Dhidi Ya Mwadui Leo Taifa?

Beki kisiki wa Yanga, Vicent Bossou anatarajia kurejea nchini Leo Jumapili akitokea nchini kwao Togo baada ya kukosekana kwa muda wa mwezi mmoja alipokuwa akiitumikia timu yake ya taifa huko nchini Gabon katika michuano ya AFCON. Baraka Deusdedit amesema Bossou amewahakikishia Yanga kuwa Jumapili hii atakuwa amewasili kambini tayari kwa kuitumikia klabu yake ya Dar Young Africans. “Tumeongea na mchezaji na ametuhakikishia hadi Jumapili atakuwa...

Sadio Mane Aiponza Senegal Robo Fainali AFCON

Robo fainali ya pili ya AFCON iliyochezwa jana majira ya saa 4:00 usiku kati ya Senegal dhidi ya Cameroon ilikuwa ni ya aina yake. Katika mchezo huo, ilishuhudiwa miamba hiyo ikimaliza dakika zote 120 bila kufungana, hali iliyopelekea kupigwa kwa mikwaju ya penati. Katika mikwaju hiyo ya penati Senegal waliondolewa katika michuano hiyo baada ya kufungwa kwa penati 5-4, huku Sadio Mane akikosa penati pekee kwa upande wa Senegal. Senegal ndio...

Habari Kubwa Za Michezo Magazetini Leo Jumapili, Jan.29/17

Habari Za Michezo Magazetini Leo Jumapili Januari 29/17 ...

Saturday, January 28, 2017

matokeo FA CUP january 28

...

MATOKEO FA:Chelsea,Man City Zashusha Kichapo, Liver Yadunguliwa

MATOKEO FA, LEO JANUARY 28,2017 ...

Haya Ndo Yaliyowakuta Tunisia Robo Fainali AFCON 2017 Leo

Mchezo wa robo fainali ya kwanza kati ya Burkna Faso dhidi ya Tunisia umemalizika kwa Tunisia kukubali kipigo cha mabao 2 - 0. Magoli ya Burkina Faso yalipatikana mnamo dakika za majeruhi kabisa za 81' na 84' yakifungwa na Bance na Nakoulma. Kwa matokeo hayo Burkina Faso inatinga moja kwa moja katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo inayotimua vumbi huko nchini Gabon, Mechi nyingine itakayopigwa usiku huu ni kati ya Senegal dhidi ya ...

Liverpool 1 - 2 Wolverhampton Wanderers

mchezo wa mapema wa kombe la FA umemalizika kwa matokeo ambayo liverpool watayakumbuka sana. Ikiwa ndani ya dimba la anfield majogoo wa jiji wamekubali kipigo cha magoli 2 – 1 kutoka kwa Wolverhampton Wanderers . Iliwachukua dakika moja tu baada ya kuanza kwa mchezo kwa Wolverhampton Wanderers  kujipatia goli la kuongoza kupitia kwa Richard Stearman. Mchezo uliendelea kuwa  wa vuta ni kuvute na ukishuhudia kadi nne za njano tatu...

Hiki Hapa Kikosi cha Azam FC Dhidi Ya Simba Leo Taifa

LIGI KUU TANZANIA BARA (VPL 2016/17)MZUNGUKO WA PILIRAUNDI YA 20 SIMBA VS AZAM FC Kikosi cha Azam FC Dhidi Ya Azam Fc Leo Taifa. ...

Kikosi cha Simba Dhidi Ya Azam Fc Leo Taifa

LIGI KUU TANZANIA BARA (VPL 2016/17)MZUNGUKO WA PILIRAUNDI YA 20 SIMBA VS AZAM FC Kikosi cha Simba Dhidi Ya Azam Fc Leo Taifa. ...

MECHI RIPOTI: Simba 0 - 1 Azam FC

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL 2016/17)  Mzunguko wa pili raundi ya 20 FULL TIME Simba 0 - 1 Azam                             Bocco 70' Prisons 2 - 0 Mbeya Cit...

Mechi Za Leo Jumamosi Januari 28 VPL 2016/17

Ligi kuu Tanzania Bara (VPL) inataraji kuendelea tena leo kwa michezo mitatu itakayotimua vumbi katika mikoa ya Dar, Mbeya na Mtwara.Ratiba Kamili ni kama inavyoonekana hapa chini; Dar Es Salaam Simba V Azam FC Mbeya Tanzania Prisons V Mbeya City Mtwara Ndanda V Majimaji Usikiose kufuatilia Mtanange Mkali kabisa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC utakaopigwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam leo majira ya saa 10:00 Jioni, Hapahapa...

Ratiba ya FA Leo jumamosi January 28

...

Thursday, January 26, 2017

Rufaa ya polisi Dar es Salaam dhidi ya mchezaji wa simba Novalty Lufunga kucheza huku akiwa na kadi nyekundu yagonga mwamba

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania limeitupilia mbali rufaa ya timu ya polisi Dar es salaam waliokata kutaka wapewe ushindi katika mchezo wao wa raundi ya tano  ambao simba ilishinda kwa 2 -0, Mchezaji Novalty Lufunga aliekatiwa rufaa alipata kadi nyekundu katika mchezo wa mwisho kwa simba wa  Azam Sports Federation Cup 2015/2016 ambapo simba ililala katika mchezo huo wa 11april 2016 kuondoshwa mashindanoni. Kanuni...

Takwimu Za Upachikaji Mabao AFCON 2017 Hatua Ya Makundi

Michuano ya Kombe la Afrika maarufu kama AFCON, imekamilisha hatua ya makundi huku ikishuhudiwa nchi vigogo zikiyaaga mashindano hayo kama vile Algeria na Ivory Coast. ...

Walioshinda Tuzo Za "Man Of The Match" AFCON Hatua ya Makundi

Michuano ya AFCON inayoendelea huko nchini Gabon, imekamilisha hatua ya makundi ambapo sasa zinasubiriwa mechi ya hatua ya robo fainali zitakazochezwa Wikiendi hii. Jambo lililoleta msisimko mkubwa katika michuano hiyo ni jinsi timu vigogo zilizokuwa zinapewa kipaumbele katika mbio za kuwania taji hiyo kubwa kabisa barani Afrika, kufungishwa virago mapema tu kunako hatua ya makundi, nchi hizo ni Ivory Coast pamoja na Algeria, Ivory Coast ambao...

Huyu Ndiye Anayekimbiza Kwa Magoli AFCON 2017

Anaitwa Junior Kabananga Mchezaji wa Congo DR. Katika Michuano inayoendelea huko nchini Gabon kwa sasa, mchezaji nyota wa timu ya taifa ya Congo DR, Kabananga ndiye anayeongoza katika orodha ya wafungaji katika michuano hiyo. Kabananga amefanikiwa kutupia nyavuni magoli matatu, magoli ambayo amefanikiwa kuyapata katika mechi zote tatu alizocheza, akifunga goli moja kila mechi na kuisaidia timu yake kutinga hatua ya robo fainali ya AFCON 2017. Congo...

Mitanange Ya Robo Fainali AFCON Wikiendi Hii

Hivi ndivyo Kipute kitakavyokuwa AFCON 2017 Hatua ya Robo Fainali Wikiendi Hii Jumamosi January 28/2017 Burkina Faso v Tunisia Senegal v Cameroon Jumapili January 29/2017  DR Congo v Ghana Egypt v Moroc...

Sunday, January 22, 2017

matokeo mechi za jumamosi epl haya hapa

MATOKEO ENGLAND – EPL JANUARY 2...

Saturday, January 14, 2017

HISTORIA KATI YA LIVERPOOL VS MAN U EPL TANGU 1992 SEHEMU YA TATU

Kwa msomaji wetu mpya hii ni sehemu ya tatu ya makala muendelezo wa historia kati ya Liverpool vs Manchester United katika michezo iliyowakutanisha wao(head to head) katika ligi kuu ya EPL tangu kuasisiwa kwa jina la EPL. Tutakuletea vikosi vilivyocheza  refa aliechezesha, idadi ya magoli, wafungaji, na kadi za njano na nyekundu, tunafanya hivyo ili uweze kubashiri vizuri matokeo ya mchezo wa jumapili ukiwa na uhakika wa utabiri wako.  SEHEMU...

RATIBA MBALIMBALI DUNIANI wikiendi hii

Ratiba mbalimbali duniani siku ya leo jumamosi, jumapili na jumatatu ni kama inavyoonekana katika majedwali hapo chini...

Friday, January 13, 2017

HISTORIA YA LIVERPOOL VS MANCHESTER UNITED KWENYE EPL SEHEMU YA PILI

Kwa msomaji wetu mpya hii ni makala muendelezo wa historia kati ya Liverpool vs Manchester United katika michezo iliyowakutanisha wao(head to head) katika ligi kuu ya EPL tangu kuasisiwa kwa jina la EPL. Tutakuletea vikosi vilivyocheza  refa aliechezesha, idadi ya magoli, wafungaji, na kadi za njano na nyekundu, tunafanya hivyo ili uweze kubashiri vizuri matokeo ya mchezo wa jumapili ukiwa na uhakika wa utabiri wako...

Thursday, January 12, 2017

LEO KATIKA HISTORIA MAN UNITED VS LIVERPOOL TANGU 1992 EPL(ENGLAND PREMIER LEAGUE)

Manchester united na liverpool jumapili hii January 15, 2017 watakutana katika mbio za kuwania taji la ligi kuu ya England, katika blog yetu tutakuletea historia nzima ya matokeo baina ya timu hizi mbili kuanzia pale ligi hii ilipojulikana kwa jina la Premier League mnamo mwaka 1992 nakuendelea Tutakuletea vikosi vilivyocheza  refa aliechezesha, idadi ya magoli, wafungaji, na kadi za njano na nyekundu, tunafanya hivyo ili uweze kubashiri vizuri...

Tuesday, January 10, 2017

simba yaitungua yanga bila huruma Zanzibar

...

Monday, January 9, 2017

ni simba au yanga nusufainal Mapinduzi cup kesho

...