Yanga Yainyoosha Azam Fc Chamanzi

Azam FC 1 - 2 Young Africans.

Kiungo Wa Everton James McCathy Avunjika Mguu

Kiungo James McCarthy wa Everton sasa atakaa nje na kuukosa msimu wote huh baada ya kuvunjika mifupa miwili ya mguu wake.

DRAW CAF CL And CC 2018

Draw Caf Cl and CC 2018

Yanga Yazinduka Yaambulia Ushindi Mwembamba

Klabu ya Yanga leo imefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa goli moja kwa sifuri

Madrid Yaivurumisha Deportivo 7-1

Klabu ya Real Madrid leo imefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono kwa jumla ya magoli 7-1 dhidi ya Klabu Deportivo la Coruna

Showing posts with label Matokeovpl. Show all posts
Showing posts with label Matokeovpl. Show all posts

Sunday, January 21, 2018

Yanga Yazinduka Na kupata Ushindi Mwembamba Dhidi ya Ruvu Shooting


Matokeo Vpl
Ruvu Shooting 0 - 1 Yanga
                               Buswita


Matokeo Mengine


Wednesday, March 1, 2017

Ruvu Shooting 0 - 2 Yanga SC , goli la Emanuel Marthin laacha gumzo Taifa


Yanga waiadhibu Ruvu Shooting 2 - 1 uwanja wa Taifa.

kikosi cha yanga kikitoka kujeruhiwa na mnyama Simba leo katika dimba la uwanja wa Taifa jiji Dar es salaam wamekata ngebe za msemaji machachari wa Ruvu Masao Bwire.

Msemaji huyo alikaririwa na vyombo mbalimbali vya habari jana akitoa maneno makali na yenye msisimko pale aliposema "Yanga alishauliwa lakini hajazikwa hivyo kesho lazima tuzike".

ikiwa imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake cha leo kwa kuwaanzisha Hassan Ramadhani Kessy,  Nadir Haroub Canavaro,  Vincent Bossou, . Deus Kaseke, Geoffrey Mwashuiya, iliwachukua dakika 30 ndipo walipopata penati baada ya mlinzi wa Ruvu kuunawa mpira uliopigwa na Obrey Chirwa.

mwamuzi aliamuru ipigwe penati na Saimon Msuva aliipa Yanga uongozi wa goli moja na goli lake la 12 msimu huu.

dakika ya 45 Obrey Chirwa alifunga goli safi kwa kichwa lakini Mwamuzi alilikataa goli hilo na kumpa kadi ya njano kabla ya 46' kumtoa  nje kwa kosa la kumdharau mwamuzi.
Mpaka mapumziko mwenyeji Ruvu Shooting 0 - Yanga SC 1.

Kipindi cha pili Ruvu walikuja kwa nguvu na kukosa nafasi nyingi za wazi, 
dakika ya 93 Emanuel Marthin alifunga goli saafi kwa kichwa baada ya krosi safi kutoka upande wa kulia iliyochongwa na Msuva.

mpaka mwisho wa mchezo Ruvu Shooting 0 - Yanga SC 2.

kwa matokeo hayo Yanga wamefikisha alama 52 katika michezo 23 wakiwa nafasi ya pili nyuma ya vinara Simba wenye 54 baada ya michezo 23.

Saturday, February 11, 2017

Simba yarudi kileleni, yaitumia salamu yanga february 25

Sunday, January 29, 2017

Yanga Yaitwanga Mwadui, Yapaa Kileleni

LIGI KUU TANZANIA BARA
MZUNGUKO WA PILI
RAUNDI YA 20

Yanga 2 - 0 Mwadui
Chirwa 69', 83'

Sunday, April 17, 2016

Mnyama Achinjwa Taifa

Timu ya soka ya Simba imezidi kupoteza matumaini ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara baada ya kukubali kichapo cha Goli 1 - 0 toka kwa Toto Africans ya Mwanza.Katika mchezo huo ambao wadau wengi wa soka waliipa Simba nafasi ya ushindi, kibao kiligeuka na kujikuta wakizidiwa kila idara na mapema katika dakika ya 20 mchezaji Wazir Junior alifanikiwa kupachika goli safi na laushindi kwa timu yake ya Toto Africans. 
Mpaka mpira unakwisha Toto Africans walikuwa wanaongoza kwa goli 1 dhidi ya Simba





LIVE KUTOKA TAIFA - FUATILIA LIVE MCHEZO KATI YA SIMBA NA TOTO AFRICANS


HALF TIME

MATOKEO:

SIMBA 0 - 1 TOTO AFRICANS

Mfungaji: Wazir Junior 

========

KIPINDI CHAPILI KIMEANZA



Dakika ya 47: beki wa Simba, Hassan Kessy anapewa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo, Edward Christopha

FULL TIME

MATOKEO:

SIMBA 0 - 1 TOTO AFRICANS


Kwamara nyingine mnyama anauwawa kikatili na kuzidi kupoteza matumaini ya ubingwa msimu huu.......... 

Saturday, April 16, 2016

Yanga Yapaa Kileleni


Mchezo kati ya Yanga na Mtibwa Umemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli 1 - 0 dhidi ya Mtibwa Sugar goli liliofungwa na Simon Msuva dakika ya 46'.
Kwa matokeo haya Yanga inakaa kileleni kwa jumla ya pointi 59 dhidi ya 57 za simba

Wednesday, April 6, 2016

Matokeo Ligi Kuu Bara

Matokeo Ligi Kuu Tanzania Bara


Azam FC
2 - 0
Majimaji
Young Africans
2 - 1
Mgambo JKT
Simba SC
0 - 1
Toto Africans
Young Africans
1 - 0
Mtibwa Sugar
Coastal Union
1 - 0
JKT Ruvu
Ndanda FC
2 - 0
Kagera Sugar
Mtibwa Sugar
0 - 1
Azam FC
Young Africans
2 - 1
Mwadui FC
Toto Africans
1 - 2
Majimaji
Mgambo JKT
0 - 1
Mbeya City
Ndanda FC
2 - 1
Mwadui FC
African Sports
1 - 0
Kagera Sugar
Mtibwa Sugar
1 - 1
Tanzania Prisons
Azam FC
2 - 2
Ndanda FC
Majimaji
2 - 0
Coastal Union
Young Africans
3 - 1
Kagera Sugar
Toto Africans
1 - 1
Azam FC
Stand United
2 - 0
Mgambo JKT