Yanga Yainyoosha Azam Fc Chamanzi

Azam FC 1 - 2 Young Africans.

Kiungo Wa Everton James McCathy Avunjika Mguu

Kiungo James McCarthy wa Everton sasa atakaa nje na kuukosa msimu wote huh baada ya kuvunjika mifupa miwili ya mguu wake.

DRAW CAF CL And CC 2018

Draw Caf Cl and CC 2018

Yanga Yazinduka Yaambulia Ushindi Mwembamba

Klabu ya Yanga leo imefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa goli moja kwa sifuri

Madrid Yaivurumisha Deportivo 7-1

Klabu ya Real Madrid leo imefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono kwa jumla ya magoli 7-1 dhidi ya Klabu Deportivo la Coruna

Showing posts with label England - Premier League. Show all posts
Showing posts with label England - Premier League. Show all posts

Sunday, May 14, 2017

Hull City, Middlesbrough waungana na Sunderland kushuka daraja, wakati Liverpool, Manchester City na Arsenal wanapigana kuingia nne bora ‘BIG 4’ki




Baada ya jana kukubali kichapo cha goli 2 – 1 toka kwa Southampton ndani ya Uwanja wake wa nyumbani timu ya Middlesbrough imeaga rasmi ligi kuu ya England ikiungana na Sunderland ambayo ilishashuka kitambo.

Timu ya Hull City nayo leo imenyoosha mikono juu na kuiga rasmi ligi hiyo baada ya kukubali kufungwa goli 4 – 0 na Crystal Palace na hivyo kuaga rasimi ligi.

Timu ya hull City imebakiwa na pointi zake 34 baada ya mechi 37 na imebakiwa na mchezo mmoja ambao hata ikishinda itafikisha pointi 37 ambazo timu inayoshika nafasi ya 17 ina pointi 38 tayari.

Chelsea ameshatwaa ubingwa kwa kujikusanyia pointi 87 ambazo hakuna timu yoyote inaweza kuzifikia huku ikiwa na mchezo mmoja mkononi, Tottenham nayo imefanikiwa kushika nafasi ya pili ambayo timu za nyuma yake hakuna ambayo inaweza kuifikia.
Sasa mvutano mkubwa umebaki kwa timu tatu kuwania nafasi 2 za kwenda ligi ya mabingwa ulaya, timu ya Liverpool imecheza michezo 37 ina pointi 73 inafuatiwa na Manchester City iliyocheza michezo 36 ikiwa na pointi 72 huku Arsenal ikiwa imezinduka hatua za mwisho ina pointi 69 baada ya michezo 36.

Hesabu zipo hivi, kama Liverpool atashinda mchezo wake uliobaki tayari atakuwa kaingia ‘BIG 4’, Manchester City endapo itashinda mchezo mmoja kati ya miwili itakuwa imeingia ‘BIG 4’, Hesabu za Arsenal zipo hivi, kwanza ishinde mechi zake zote mbili zilizosalia halafu iombe mabaya kwa timu moja wapo kati Liverpool au Manchester City ipoteze.

Ila shida nyingine inakuja endapo Manchester United watatwaa kombe la Europa basi timu itakayoshika nafasi ya nne itabidi icheze Europa na sio kufuzu kwa ligi ya mabingwa Kutokana na sharia ya kuwa bingwa wa Europa anapata nafasi ya kuingia moja kwa moja ligi ya mabingwa.

Angalia jedwali na wewe upitishe Hesabu zako upime timu yako kama ipo kwenye huo mkondo hapo.



Sunday, February 12, 2017

Saturday, February 11, 2017

Man U 2 - 0 Watfod, Zimebaki pointi mbili kuingia Big four

Arsenal 2 - 0 Hull City, Sanchez ampa usingizi Wenger


Mchezo mmoja wakamilika huko Emirates Stadium na wenyeji Arsenal wameibuka na ushindi  wa 2 – 0 kwa magoli ya Alexis Sanchez katika dakika 34 na 90(p).

Dakika ya 34 kazi nzuri ya Mesut Oezil iliokolewa na kumkuta Kieran Gibbs ambae nae aliuelekeza mpira kimiani ila uhodari wa kipa aliweza kuokoa mchomo huo na kumkuta Alexis Sanchez aliepiga tena ukaokolewa na kumbabatiza mkononi na kuingia wavuni,

Goli la pili lilitokana na mpira wa penati ambayo mchezaji wa Hully City Sam Clucas aliunawa kwa makusudi mpira uliopigwa na Lucas Perez, na mwamuzi alimpa kadi nyekundu ya moja kwa moja na penati ilipigwa na Sanchez na kuipatia timu yake uongozi wa 2 – 0.

Arsenal sasa imefikisha pointi 50 sawa na totenham iliyo nafasi ya pili ila imezidiwa idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa.

Mpka mwisho wa mchezo huo Arsenal 2 – 0 Hull City na kuzima ngebe za hull city kuvitesa vilabu vikubwa.
kadi
 Arsenal: Theo Walcott 53’ (Y), Kieran Gibbs 55’(Y) Alexis Sanchez 76’(Y)

Hull City:  Andrea Ranocchia 70’(Y) Sam Clucas 90’(R)

RATIBA EPL LEO FEBRUARY 11


Arsenal VS Hull City 15:00

Sunderland VS Southampton 18:00

Middlesbrough VS Everton 18:00

Manchester United VS Watford 18:00

Stoke City VS Crystal Palace 18:00

West Ham United VS West Bromwich Albion 18:00


Liverpool VS Tottenham Hotspur 20:30

Thursday, February 9, 2017

Monday, February 6, 2017

Leicester yakubali yaishe kwa Man U, yatota 3 - 0


King Power Stadium
Ikicheza kwa kujiamini muda wote Manchester United imeitandika Leicester-city bila huruma goli 3 – 0 katika dimba la King Power huko Leicester.

Ilibidi united wasubiri mpka dakika 41 ndio waanze kufungua ukurasa wa mabao pale mchezaji hatari anaerudi kwenye kiwango chake bora kabisa Henrik Mkhitaryan kutikisa wavu kiufundi.
Wakati Leicester wakitafakari jinsi ya kuchomoa na kuongeza ghafala Zlatan Ibrahimovic aliwaamsha mashabiki wa united mnamo dakika ya 44’ kwa kuipatia united goli la pili.

Mpaka mapumziko  Leicester-city 0 – 2 Manchester United huku Manchester wakiwa wamepiga mashuti mengi langoni mwa Leicester.
Kipindi cha pili tulishudia rafu nyingi na kusababisha wachezaji kadhaa wa united  kulimwa kadi za njano.
49’ Juan Mata alihitisha ushindi huo wa 3 – 0 ambao huenda ikawa ndio mwanzo mzuri wa kuanza kuitafta big four.
Kadi za njano
Leicester city: Danny Drinkwater 5’, Christian Fuchs 40’
Man United: Juan Mata 28’, Ander Herrera 55’, Paul Pogba 56’, David De Gea 88’.
possession (%)
Leicester city: 32

Man United: 68

Sunday, February 5, 2017

Saturday, February 4, 2017

chelsea vs Arsenal, Stamford Bridge


Wednesday, February 1, 2017

RATIBA EPL 1 FEBRUARY


Matokeo ligi kuu ya England 31 January 2017 ni kama ifuatavyo


TIMU
MATOKEO
WAFUNGAJI
   Arsenal
        VS
    Watford
   1
    -
    2
Alex Iwobi 58’

Younes Kaboul 10’, Troy Deeney 13’
    Sunderland
         VS
   Tottenham Hotspur

    0
    -
    0

  Swansea City
       VS
    Southampton

  2
  -
   1
Alfie Mawson 38’, Sigurdsson 70’

Shane Long 57’
    Liverpool
     VS
    Chelsea

  1
  -
  1
Georginio Wijnaldum 58’

David Luiz 25
   Burnley
    VS
   Leicester City
  1
  -
   0
Sam Vokes 87’
   Middlesbrough
         VS
    West Bromwich Albion
  1
  -
  1
Alvaro Negredo (P) 17’

James Morrison 6’
AFC Bournemouth
  VS
  Crystal Palace
  0
  -
  2


Scott Dann 46’, Benteke 90’

Tuesday, January 31, 2017

LIGI KUU YA ENGLAND LEO 31 January 2017



TIMU
MUDA
   Arsenal
        VS
    Watford

22:45
    Sunderland
         VS
   Tottenham Hotspur

22:45
  Swansea City
       VS
    Southampton

22:45
    Liverpool
     VS
    Chelsea

23:00
   Burnley
    VS
   Leicester City
22:45
   Middlesbrough
         VS
    West Bromwich Albion
22:45
AFC Bournemouth
  VS
  Crystal Palace
22:45

Sunday, January 22, 2017

matokeo mechi za jumamosi epl haya hapa


MATOKEO ENGLAND – EPL JANUARY 21

Saturday, January 14, 2017

HISTORIA KATI YA LIVERPOOL VS MAN U EPL TANGU 1992 SEHEMU YA TATU


Kwa msomaji wetu mpya hii ni sehemu ya tatu ya makala muendelezo wa historia kati ya Liverpool vs Manchester United katika michezo iliyowakutanisha wao(head to head) katika ligi kuu ya EPL tangu kuasisiwa kwa jina la EPL.
Tutakuletea vikosi vilivyocheza  refa aliechezesha, idadi ya magoli, wafungaji, na kadi za njano na nyekundu, tunafanya hivyo ili uweze kubashiri vizuri matokeo ya mchezo wa jumapili ukiwa na uhakika wa utabiri wako.
 SEHEMU YA TATU YA HISTORIA

RATIBA MBALIMBALI DUNIANI wikiendi hii


Ratiba mbalimbali duniani siku ya leo jumamosi, jumapili na jumatatu ni kama inavyoonekana katika majedwali hapo chini.

Friday, January 13, 2017

HISTORIA YA LIVERPOOL VS MANCHESTER UNITED KWENYE EPL SEHEMU YA PILI


Kwa msomaji wetu mpya hii ni makala muendelezo wa historia kati ya Liverpool vs Manchester United katika michezo iliyowakutanisha wao(head to head) katika ligi kuu ya EPL tangu kuasisiwa kwa jina la EPL.
Tutakuletea vikosi vilivyocheza  refa aliechezesha, idadi ya magoli, wafungaji, na kadi za njano na nyekundu, tunafanya hivyo ili uweze kubashiri vizuri matokeo ya mchezo wa jumapili ukiwa na uhakika wa utabiri wako.

Thursday, January 12, 2017

LEO KATIKA HISTORIA MAN UNITED VS LIVERPOOL TANGU 1992 EPL(ENGLAND PREMIER LEAGUE)


Manchester united na liverpool jumapili hii January 15, 2017 watakutana katika mbio za kuwania taji la ligi kuu ya England, katika blog yetu tutakuletea historia nzima ya matokeo baina ya timu hizi mbili kuanzia pale ligi hii ilipojulikana kwa jina la Premier League mnamo mwaka 1992 nakuendelea
Tutakuletea vikosi vilivyocheza  refa aliechezesha, idadi ya magoli, wafungaji, na kadi za njano na nyekundu, tunafanya hivyo ili uweze kubashiri vizuri matokeo ya mchezo wa jumapili ukiwa na uhakika wa utabiri wako.

Thursday, November 17, 2016

VIta ya Jose Mourinho na Arsene Wenger ndani ya Old Traffod

Saturday, October 29, 2016

messi, Ronaldo, samatta kibaruani tena kwenye ligi mbalimbali ulaya


England - Premier League October 29
14:30    Sunderland vs Arsenal
17:00     Manchester United vs Burnley
17:00    Middlesbrough vs AFC Bournemouth
17:00    Tottenham Hotspur vs Leicester City
17:00    Watford vs Hull City
17:00   West Bromwich Albion vs Manchester City
19:30    Crystal Palace vs Liverpool
Italy – Serie A October 29
19:00   Bologna vs Fiorentina
21:45   Juventus vs SSC Napoli
Spain – Laliga Santander October 29
14:00    Sporting Gijon vs Sevilla
17:15    Alaves vs Real Madrid
19:30    Atletico Madrid vs Malaga
21:45    Barcelona vs Granada
Germany -  Bundesliga October 29
16:30     Augsburg vs Bayern Munich
16:30    Darmstadt vs RasenBallsport Leipzig
16:30    Mainz 05 vs Ingolstadt
16:30    Werder Bremen vs Freiburg
16:30   Wolfsburg vs Bayer Leverkusen
19:30   Borussia Dortmund vs Schalke 04
France – League 1 October 29
18:00    Toulouse vs Lyon
21:00    Guingamp vs Angers
21:00    Lorient vs Montpellier
21:00    Nancy vs Caen
21:00   SC Bastia vs Dijon
21:00   Saint-Etienne vs Monaco
Belgium - Pro League October 29
19:00     Zulte-Waregem vs Club Brugge
21:00     Eupen vs Lokeren
21:00    Genk vs Westerlo

21:30    St.Truiden vs Sporting Charleroi