Yanga Yainyoosha Azam Fc Chamanzi

Azam FC 1 - 2 Young Africans.

Kiungo Wa Everton James McCathy Avunjika Mguu

Kiungo James McCarthy wa Everton sasa atakaa nje na kuukosa msimu wote huh baada ya kuvunjika mifupa miwili ya mguu wake.

DRAW CAF CL And CC 2018

Draw Caf Cl and CC 2018

Yanga Yazinduka Yaambulia Ushindi Mwembamba

Klabu ya Yanga leo imefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa goli moja kwa sifuri

Madrid Yaivurumisha Deportivo 7-1

Klabu ya Real Madrid leo imefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono kwa jumla ya magoli 7-1 dhidi ya Klabu Deportivo la Coruna

Showing posts with label Belgium - Pro League. Show all posts
Showing posts with label Belgium - Pro League. Show all posts

Sunday, March 5, 2017

Samatta atupia mbili Genk ikiua 2 - 1


Jana usiku Mtanzania Mbwana Samatta aliiwezesha timu yake ya KRC GENK kuibuka na ushindi  kwa kupachika goli mbili katika dimba lao la nyumbani la Luminus Arena  katika mchezo wa Ligi Kuu Ubelgiji dhidi ya vinara wa Ligi hiyo Club Brugge.

Mbwana Samatta dakika ya 5 alikokota mpira toka katikati ya Uwanja baada ya kupokea pasi toka kwa Malinovsky na kuipa GENK goli la kuongoza kabla ya kufunga la pili akitokea upande wa kushoto baada ya pasi ya Alejandro Pozuelo katika dakika 42, dakika moja badae Brugge walipata goli la kufutia machozi lililofungwa na Izquierdo dakika ya 43.


Matokeo hayo yanaifanya KRC GENK kuendelea kuwa nafasi ya nane katika msimamo wa Ligi Kuu Ubelgiji wakiwa na point 45,baada ya michezo 29 wakati Club Brugge wao wakiendelea kuongoza Ligi hiyo inayoshirikisha timu 16 kwa kuwa na jumla ya point 58 sawa na Anderlecht waliyo nafasi ya pili baada ya michezo 29.

Sunday, February 26, 2017

Belgium - Pro League Leo February 26, msimamo na ratiba

Saturday, February 11, 2017

Saturday, February 4, 2017

Samatta kazini leo Ubeligiji


KRC Genk leo inashuka katika dimba lake la nyumbani la Luminus Arena kumenyana na timu inayoburuza mkia katika Belgium - Pro League timu iitwayo Royal Excel Mouscron. Mchezo utakaopigwa saa 22:00 majira ya Afrka Mashariki.
Genk ipo nafasi ya 8 baada ya michezo 23 ikiwa na alam 34.

Mchezaji  Mbwana Samatta ambae anaiwakilisha vyema Tanzania kimataifa kwa sasa, yupo nafasi ya 15 pamoja na kiungo mshambuliaji wa Manchester City Kevin De Bruyne kwa upachikaji mabao katika historia ya KRC Genk kwa kutia kambani jumla ya magoli 17 huku anaeongoza akiwa na magoli 105 ambae anaitwa Jelle Vossen.

Hii ina maana kuwa endapo Samatta atafunga goli tatu leo atakuwa sawasawa na Christian Benteke ambae anakipiga katika klab ya Crystal Palace.


Kilalakheri Samatta katika mafanikio yako Watanzania tupo nyuma yako. 

Saturday, October 29, 2016

messi, Ronaldo, samatta kibaruani tena kwenye ligi mbalimbali ulaya


England - Premier League October 29
14:30    Sunderland vs Arsenal
17:00     Manchester United vs Burnley
17:00    Middlesbrough vs AFC Bournemouth
17:00    Tottenham Hotspur vs Leicester City
17:00    Watford vs Hull City
17:00   West Bromwich Albion vs Manchester City
19:30    Crystal Palace vs Liverpool
Italy – Serie A October 29
19:00   Bologna vs Fiorentina
21:45   Juventus vs SSC Napoli
Spain – Laliga Santander October 29
14:00    Sporting Gijon vs Sevilla
17:15    Alaves vs Real Madrid
19:30    Atletico Madrid vs Malaga
21:45    Barcelona vs Granada
Germany -  Bundesliga October 29
16:30     Augsburg vs Bayern Munich
16:30    Darmstadt vs RasenBallsport Leipzig
16:30    Mainz 05 vs Ingolstadt
16:30    Werder Bremen vs Freiburg
16:30   Wolfsburg vs Bayer Leverkusen
19:30   Borussia Dortmund vs Schalke 04
France – League 1 October 29
18:00    Toulouse vs Lyon
21:00    Guingamp vs Angers
21:00    Lorient vs Montpellier
21:00    Nancy vs Caen
21:00   SC Bastia vs Dijon
21:00   Saint-Etienne vs Monaco
Belgium - Pro League October 29
19:00     Zulte-Waregem vs Club Brugge
21:00     Eupen vs Lokeren
21:00    Genk vs Westerlo

21:30    St.Truiden vs Sporting Charleroi