Friday, October 28, 2016

Hans Van Pluijm arejea jangwani asimamia mazoezi jioni ya leo


Hatimae mwigulu Nchemba amrejesha tena kundini kocha mkuu wa yanga Hans Van Pluijm na join hii amekiongoza kikosi cha yanga katika mazoezi yakujiandaa na mchezo wa wikiendi hii na Mbao FC.

Mwigulu ambae ni waziri katikata sreikali ya awamu ya tano ni mnazi na mwanachama wa kilabu hiyo kongwe nchini, ameweza kushawishi pande mbili zinazosigana na hatimae kukaa meza moja kwa mustakabali chanya wa yanga

0 comments:

Post a Comment