Friday, October 28, 2016

Laurent Blanc kuvaa viatu vya Frank De Boer Inter Milan


Kocha wazamani wa Paris Saint-Germain Laurent Blanc anatazamiwa kuwa mrithi wa Frank De Boer ndani ya Inter Milan baada ya msimu mbovu kwa kocha huyo.
Inter Milan imeuanza msimu wa 2016/2017 vibaya  ambapo mpka sasa inashika nafasi ya 14 katika serie  A baada ya kuwa na point .. katika michezo … huku ikifunga goli  na kufungwa goli ..
Laurent Blanc alitimuliwa mwanzoni mwa msimu na nafasi yake kujazwa na kocha wa zamani wa mabingwa wa ligi ya UROPA Sevila Unai Emery, anaendelea na mazungumzo ya kujiunga na Inter Milan

0 comments:

Post a Comment