Friday, October 28, 2016

Antoine Griezmann, Riyad Mahrez wanakaribia tatu bora Ballon d'Or 2016



Ikiwa imesalia mwezi mmoja na nusu toka sasa ili dunia kupata mchezaji bora wa dunia Christiano Ronaldo anaonekana kukaribia kutwaa tuzo hiyo kwa mujibu wa kura zinavyopigwa kwa sasa na jinsi washindani wenzake wanavyomzungumzia   
“Siwezi kuwa mimi, atakua Christiano Ronaldo” hayo aliyasema Antoine Griezmann alipokua anajibu maswali ya waandishi wa habari
Ikumbukwe kuwa Ronaldo anabebwa na mafanikio aliyoyapata kwa kutwaa kombe la kilabu bingwa ulaya, kubeba kombe la mataifa ya ulaya.

Kwa mara ya kwanza tunategemea kuona maingizo mapya ktika nafasi tano za juu za kuwania Ballon d'Or 2016 wanaopewa chapuo ni Riyad Mahrez wa Leicester City's na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid

0 comments:

Post a Comment