Monday, July 18, 2016

MOURINHO AWAWEKA NYOTA 4 WA MAN U SOKONI

Jose Mourinho amepanga kuwauza wachezaji wanne huku pia akipanga kumbakisha Fellaini kikosini.

Waliokatika mipango ya kuuzwa na Mourinho ni;
1.Daley Blind
2.Juan Mata
3.Bastian Schweinsteiger
4.Marcos Rojo


Ungana Na Soka24 Facebook, Bonyeza  HAPA  Kwa Habari Za Haraka Za Soka Kote Ulimwenguni.

0 comments:

Post a Comment