Friday, May 20, 2016

SHABIKI MKUBWA WA YANGA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Shabiki Mkubwa Wa Yanga Askari Wa Jeshi La Polisi Kikosi Cha Usalama Barabarani Kinyogori Ameuawa Kwa kupigwa Risasi.

Kinyogoli Enzi Za Uhai Wake

Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Sajini Kinyogori ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kupigwa risasi nyumbani kwake eneo la Mwandege, Mkuranga Pwani.Askari huyo aliyedhirihisha wazi mapenzi yake kwa Yanga amefanyiwa unyama huo huku ikiwa haijajulikana nini chanzo cha tukio hilo.

Waliofanya Shambulizi hilo Bado Hawajajulikana na Mwili wa marehemu tayari umelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Mungu Ailaze pema roho ya marehemu-Ameen

Related Posts:

  • BOCCO ATAJA KILICHOWAPONZA AZAM FCNahodha wa timu ya Azam FC, John Bocco amesema kuwa kushindwa kupata mafanikio katika msimu uliopita kumechangiwa na kuwakosa wachezaji wao muhimu katika kikosi hicho. Bocco alisema kukosekana kwa wachezaji muhimu katika k… Read More
  • KIWANGO KIBOVU CHA HAJI MWINYI CHAMUUMIZA PLUIJMKiwango cha beki wa kushoto wa Yanga Haji Mwinyi kinaonekana kushuka hali inayomfanya kocha Hans Pluijm kutafuta namna ya kulifanyia kazi suala hilo. Haji Mwinyi ni beki mwenye kipaji kikubwa anayeweza kuimudu vizuri nafas… Read More
  • FARID MUSSA ASUBIRI RUHUSA YA AZAM FCFarid Mussa ni winga wa Azam FC aliyepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika klabu ya Deportivo Tenerife ya nchini Hispania na kufanikiwa kufuzu majaribio hayo na sasa anasubiri ruhusa ya klabu tu ili aondoke zake. … Read More
  • MIPANGO YA JULIO KATIKA USAJILIKocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kiwelu "Julio" amesema yeye hana mpango wa kusajili wachezaji wa kigeni katika kikosi chake. Julio amesema lengo lake ni kutoa fursa kwa wachezaji wa ndani waweze kuonyesha uwezo wao ili waje ku… Read More
  • SHOMARI KAPOMBE KURUDI MSIMBAZIKlabu ya Simba imesema inapambana kuhakikisha wanamrudisha kikosini beki wao Shomari Kapombe anayeitumikia klabu ya Azam FC kwa sasa. Kapombe ambaye hivi karibuni ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu uliopita ligi kuu Vo… Read More

0 comments:

Post a Comment