Klabu za Ligi ya Premia zilitumia zaidi ya £155m siku ya mwisho ya kuhama kwa wachezaji kipindi cha majira ya joto na kufikisha jumla ya pesa zilizotumiwa hadi rekodi mpya ya £1.165bn.
Klabu zilikuwa tayari zimetumia jumla ya£1.005bn kufikia saa nne mchana Jumatano saa za Afrika Mashariki na kuvunja rekodi ya mwaka jana ya £870m.
Pochettino: Mkenya Wanyama ni ‘mnyama’
Klabu 13 za ligi hiyo kuu ya England zilivunja rekodi zao sokoni.
Hapa chini ni mchoro unaoonesha matumzii ya fedha kwa klabu za Ligi ya Premia kwa miaka 10 iliyopita, Majira ya Joto.
Mchezaji aliyenunuliwa pesa nyingi zaidi ni Paul Pogba.
Hapa chini ni orodha ya wachezaji walionunuliwa ghali zaidi na kalbu za Ligi ya Premia msimu wa 2016-17:
Klabu zajitanua kutumia pesa
Klabu mbili za Manchester, City na United, zilitumia zaidi ya £150m.
Meneja mpya wa Manchester United, Jose Mourinho, alimnunua Paul Pogba kwa rekodi ya dunia £89m.
Pia walimnunua kiungo wa kati kutoka Armenia Henrikh Mkhitaryanna beki wa Ivory Coast Eric Bailly, wawili hao kwa £30m.
City, chini ya Pep Guardiola, walinunua kiungo wa kati Leroy Sane kutoka Schalke kwa £37m kisha wakalipa Everton £47.5m kumchukua beki John Stones.
Chelsea na mmiliki wao Roman Abramovich, walimpa meneja mpya Antonio Conte nguvu mpya za kutumia pesa.
Alitumia £120m, ikiwa ni pamoja na £34m kumrejesha beki Mbrazil David Luiz kutoka Paris St-Germain na £33m kumpata mshambuliaji Mbelgiji Michy Batshuayi kutoka Marseille.
Waliotawala mitandao ya kijamii
Ni mchezaji yupi aliyezungumziwa sana mitandao ya kijamii?
Ilikuwa ni difenda Mbrazil David Luiz aliyerejea Chelsea kutoka Paris St-Germain.
Kulikuwa na ujumbe 330,000 katika Twitter kumhusu, akifuatiwa na Jack Wilshere wa Arsenal, aliyetumwa kwa mkopo Bournemouth. Kulikuwa na ujumbe 108,000 kwenye Twitter kuhusu kiungo huyo wa kati.
Kipa wa Manchester City Joe Hart, aliyeenda Torino kwa mkopo, saini mpya wa Tottenham Moussa Sissoko na Samir Nasri wa Arsenal, aliyetumwa Sevilla, ndio wachezaji wengine waliozungumziwa sana.
HIZI HAPA STORI KUBWA ZINAZOTIKISA ANGA LA SOKA HIVI SASA;
GARETH BALE HAJALI KUFUNIKWA NA POGBA
YAYA TOURE ATUPWA NJE YA KIKOSI CHA MAN CITY
Ungana na Soka24 Facebook, Bonyeza HAPA

SOURCE:BBC
==============HIZI HAPA STORI KUBWA ZINAZOTIKISA ANGA LA SOKA HIVI SASA;
GARETH BALE HAJALI KUFUNIKWA NA POGBA
YAYA TOURE ATUPWA NJE YA KIKOSI CHA MAN CITY
Ungana na Soka24 Facebook, Bonyeza HAPA
0 comments:
Post a Comment