Thursday, June 23, 2016

FAINALI COPA AMERICA 2016 NI CHILE VS ARGENTINA


Timu ya taifa ya Chile imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2 - 0 dhidi ya Colombia katika mchezo wa nusu fainali Copa America 2016 na kufanikiwa kutinga fainali ya michuano hiyo na sasa watakutana na Argentina kwa mara ya pili  katika fainali hizo.











Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook Hapa


0 comments:

Post a Comment